Vita vya Waterloo: Dhihirisho la Ubepari Halisi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mifupa ya wanajeshi waliokufa kutokana na Vita vya Waterloo yatumiwa katika viwanda vya sukari.
Mifupa ya wanajeshi waliokufa kutokana na Vita vya Waterloo yatumiwa katika viwanda vya sukari.
Baraza la mawaziri la kifederali la Pakistan mnamo tarehe 22 Agosti 2022 liliidhinisha kutiwa saini kwa makubaliano kati ya dola ya Qatar na Jeshi la Pakistan kwa ajili ya kutoa usalama kwa kipute kijacho cha Kombe la Dunia la FIFA 2022, hafla kubwa itakayofanyika nchini Qatar, ambapo zimesalia siku 90 pekee.
Mnamo Agosti 15, shirika la habari la Kormesant.ru liliripoti: "Taliban" (harakati inayotambuliwa kama ya kigaidi na iliyopigwa marufuku katika Shirikisho la Urusi) inakusudia kuanzisha biashara ubadilishanaji na Urusi. Waziri wa Viwanda na Biashara wa Imarati ya Kiislamu ya Afghanistan, Nuriddin Azizi, alisema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi jijini Moscow.
Takriban wasomi 20 walimwandikia barua Waziri Mkuu Modi wakitaka kupigwa marufuku kwa vitabu vinavyohusiana na Uislamu wa kisiasa katika vyuo vikuu vinavyofadhiliwa na serikali. Pia kumekuwepo na visa vyengine vya vijana wa Kiislamu kukamatwa kwa kushukiwa kujihusisha na ISIS.
Mwanzilishi mwenza na msemaji wa zamani wa harakati ya Mujahidina ya Al-Shabab, Mukthar Robow ameteuliwa kuwa Waziri wa Masuala ya Kidini na Waziri Mkuu wa Somalia. "Tunakaribisha uteuzi wake. Hatua hiyo itaendeleza maridhiano na itakuwa mfano mzuri kwa uasi wa ngazi za juu kutoka al-Shabab," alisema mchambuzi wa kisiasa Mohamed Mohamud.
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje, Cavusoglu akijibu maswali ya waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 13 wa Mabalozi uliofanyika jijini Ankara, ambayo ilikuwa ni jana,
Vikao vya mahakama moja ya wilaya ya Islamabad 17 Agosti 2022 iliidhinisha kuwekwa rumande kwa siku mbili kwa kiongozi wa PTI, Shahbaz Gill, kwa ombi la polisi wa mji mkuu. Hakimu pia alielekeza afisa wa upelelezi, kupanga uchunguzi wa matibabu wa Bw. Gill, na kuwasilisha ripoti kwa mahakama hiyo.
Jumatatu tarehe 25/08/2022, wakaazi wa mji wa mashariki wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) walivamia afisi za Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (UN-MONUSCO) wakiandamana kutokana na kushindwa kwa miradi hiyo ya Umoja wa Mataifa kulinda maisha yao.
Kampuni ya Marekani ya SpaceX ilifanikiwa kuzindua chombo cha uzinduzi aina ya Falcon 9, ambacho kilirusha takriban satelaiti 50 zaidi za Starlink kwenye obiti.
Wakenya mara kwa mara wanatazama mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya kawaida na kujaribu kutafakari ishara mchanganyiko kuhusu ni nani anayeweza kuwa Rais wao mpya.