Iwe ni Ufungaji Kijanja au Kamilifu, Serikali ya Federali na Sindh ni Nukta za Kujishindia Alama za Kisiasa juu ya virusi vya Korona, Huku Zote Zikiwa Haziangalii Mahitaji ya Kiafya na Kiuchumi ya Waislamu
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo 30 Julai 2021, Waziri Mkuu wa Sindh alitangaza kuifunga kwa ghafla Karachi kwa siku tisa, jiji kubwa zaidi la Waislamu ulimwenguni, lenye idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni ishirini, akidai kwamba ililenga kudhibiti kuenea kwa virusi vya Korona aina ya Delta.