Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Mwanajeshi Halisi!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hivi kuna uwezekano wakuishi maisha bora ya kiuwanajeshi zaidi ya yale aliyoishi Sa’ad ibn Mu’adh (ra) ambaye alitoa Nusra ya kusimamisha Uislamu kama serikali na kisha akawang'oa maadui katika vita vya Badr?