Vita Virefu Zaidi vya Amerika
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vyombo vya Habari vya kilimwengu vimejaa taarifa ya kuondoka kwa vikosi vya Amerika nchini Afghanistan.
Vyombo vya Habari vya kilimwengu vimejaa taarifa ya kuondoka kwa vikosi vya Amerika nchini Afghanistan.
Mwezi wa ulioteremshwa Qur'an Tukufu, Ramadhan, unashuhudia kutekwa nyara kwa mja mwaminifu wa Mwenyezi Mungu (swt), aliyelingania hukmu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, Naveed Butt, anaendelea kutekwa nyara tangu tarehe 11 Mei 2012, wakati majambazi kutoka kwa mashirika ya serikali walipomteka nyara kwa nguvu nje ya nyumba yake jijini Lahore, mbele ya watoto wake na majirani waliojaa hofu.
Kwa kuzingatia shambulizi la kimpangilio la kuyagonga maadili ya Uislamu katika nchi za Kiislamu, Wizara ya Elimu nchini Jordan ilisambaza vitabu kwa idara za elimu 42 katika magatuzi anuwai kutekeleza mpango wa mafunzo kwa walimu wa kiume na wa kike juu ya "uoanishaji jinsia katika elimu na mazingira ya shule.”