Sera ya Kima cha Chini cha Mshahara ni ya Kinyonyaji na Hutumika kama Zana ya Kisiasa ya Kukuza Ubaguzi wa Rangi na Utabaka
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Siku ya Jumapili Mei mosi 2022 rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitangaza ongezeko la asilimia 12 kwa mshahara wa mfanyakazi kuanzia tarehi 1 Mei ili kuwa kwamua wafanyakazi ambao kwa sasa wanashuhudia mbano wa mfumko wa bei hasa bidhaa za vyakula na mafuta.