Udhalimu wa Kidemokrasia katika Ugavi wa Mapato
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pendekezo juu ya ugawanyaji wa mapato baina ya kaunti ambalo litayapa mapendeleo makubwa maeneo yaliyo na idadi kubwa ya watu limesababisha mgawanyiko mkubwa katika bunge la Seneti.