- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Dua ya Kunut “Kwa ajili ya Gaza... Mikono Imeinuliwa Mbinguni?!”
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 17, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali “Dua ya Kunut” kufuatia umbile halifu la Kiyahudi kukiuka makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano alfajiri ya Jumanne, 18 Machi 2025, na kuanza tena mauaji yake ya kimpangilio ya Waislamu wasio na ulinzi, ambao wengi wao wakiwa ni wanawake, watoto na wazee, chini ya kichwa:
Dua ya Kunut “Kwa ajili ya Gaza... Mikono Imeinuliwa Mbinguni?!”
Ambapo baada ya kuswali swala ya Taraweh (usiku wa tarehe 27 mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan), wenye kuswali jijini Istanbul, Mersin, Diyarbakir, Sanliurfa na Tetouan waliiombea Gaza na kutoa wito kwa majeshi ya Waislamu kusonga mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuutakasa Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na Palestina inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana najisi ya Mayahudi wauwaji wahalifu.
Jumatano, 26 Ramadhan Al-Mubarak 1446 H sawia na 26 Februari 2025 M
- Sehemu ya Kisomo cha Dua za Kunut kwa ajili ya Watu Wetu mjini Gaza Tukufu -
https://hizb-uttahrir.info/sw/index.php/dawah/uturuki/4603.html#sigProIdf266351b77
- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki