Ijumaa, 28 Ramadan 1446 | 2025/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali za Usiku “Mutachukua Hatua Lini kwa ajili ya Gaza?!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 17, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa za usiku katika idadi kadhaa ya miji Uturuki kufuatia umbile halifu la Kiyahudi kukiuka makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano alfajiri ya Jumanne tarehe 18/03/2025, na mshtuko wake kwa Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na mashambulizi 100 ya wakati huo huo ya anga ambayo yaligharimu maisha ya zaidi ya mashahidi 430, ambao wengi wao walikuwa wanawake na watoto, na kujeruhiwa mamia, na kupotea kwa makumi chini ya vifusi vya majengo yaliyovunjwa, chini ya Kichwa:

“Mutachukua Hatua Lini kwa ajili ya Gaza?!”

Kupinga suluhisho la dola mbili linalolazimishwa na kuwataka Waislamu kuungana chini ya bendera ya Khalifa mmoja mwenye kuyahamasisha majeshi mara moja kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumanne, 18 Ramadhan Al-Mubarak 1446 H sawia na 18 Februari 2025 M

- Sehemu ya Amali za Usiku Zilizoandaliwa katika Idadi ya Miji Kadhaa ya Uturuki -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu