Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu,

“Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Scandinavia ili toa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumada al –Awwal 1441 H - Januari 10, 2020 M

Kauli ya Abu Hisham

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Uholanzi

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumapili 17, Jumada al-Awwal 1441 H -  12 Januari, 2020 M

Warsha ya Kisiasa

Ukombozi wa Kostantinopoli… Historia Yetu ya Fahari na Mustakbali Mwema

Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya warsha ya kifikra ya kisiasa katika Mji wa Hague katika maadhimisho ya kukombolewa kwa Konstantinopoli

Ilikuwa warsha ya mwaliko wazi kwa wanaume na wanawake.

 Jumanne 19, Jumada al-Awwal 1441H -  Januari 14, 2020 M

Ili kupata habari zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir/Uholanzi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Uholanzi
Ukurasa wa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Uholanzi
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Uholanzi

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Alama Ishara za Kampeni:

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 05 Machi 2020 11:21

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu