Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Matembezi “Enyi Jeshi la Fahari la Tunisia, Utawala Unawakuwekeni kwenye Mikono ya Adui Yenu na Muuaji  wa Watu Wetu huko Gaza!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Jeshi la Fahari la Tunisia, Utawala Unawakuwekeni kwenye Mikono ya Adui Yenu na Muuaji  wa Watu Wetu huko Gaza!” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu, ambayo yalipangwa kufika Al-Barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa. Ni matembezi ya 33 mfululizo tangu vita vya mauaji ya halaiki vizuke dhidi ya Waislamu katika Ukanda wa Gaza katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Na hivyo, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inaendeleza kuinusuru kwake Gaza ambapo mpaka sasa imeandaa matembezi 33 tangu kuzinduliwa cheche ya Kimbunga cha Al-Aqsa, na ina nia ya kuuamsha Umma na majeshi yake hadi wasimamishe dola la Uislamu aliyowafaradhishia juu yao Mwenyezi Mungu, hivyo wawaokoe wanadamu wote kutokana na dhulma na jinai za Mayahudi na Magharibi Makruseda wa kuchukiza.

Mwakilishi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia

Ijumaa, 17 Shawwal Al-Khair 1445 H sawia na 26 Aprili 2024 M

- Sehemu ya Mikutano ya Amali ya Matembezi -

 

Kalima ya Ustadh Muhammad Ali bin Salem

Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia

Kuhusu Ujanja wa Al-Asad wa Kiafrika nchini Tunisia Unaoongozwa na Marekani

Kalima ya Ustadh Abdul Raouf Al-Aamiri

Mjumbe wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia

Kuhusu Ujanja wa Al-Asad wa Kiafrika nchini Tunisia Unaoongozwa na Marekani

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu