Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Kisimamo cha Babika “Mauaji ya Kitongoji cha Al-Tadhamun ni Mfano Mdogo wa Mauaji ya Suluhisho la Kisiasa la Amerika na Azimio 2254!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Babika viungani mwa Aleppo, kisimamo kwa anwani “Mauaji ya Kitongoji cha Al-Tadhamun ni Mfano Mdogo wa Mauaji ya Suluhisho la Kisiasa la Amerika na Azimio 2254!”