Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Amali za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Ramadhan Uliobarikiwa 1446 H
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria kilishiriki kwa kalima hii ya dada mwema Khadija Al-Shaykh, yenye kichwa “Katika mwezi wa Rajab, machozi yanatiririka na matamanio yanapita kasi.”
Tangu kuanguka kwa dhalimu Assad mnamo tarehe nane mwezi huu, makundi ya umbile la Kiyahudi yamekuwa yakishambulia ardhi ya Ash-Sham, na ndege zake zimekuwa zikivamia anga yake kwa mashambulizi ya angani yenye nia mbaya ambayo yalilenga miji kadhaa, na maeneo ya kijeshi. Mashambulizi haya yamefika katika mji wa Deir ez-Zor mashariki mwa Syria. Mashambulizi hayo ya chuki na kihalifu yamejikita kwenye maghala ya silaha, vikosi vya ulinzi wa anga katika maeneo ya kati na kusini, vituo vya utafiti wa kisayansi wa kijeshi, na viwanja vya ndege vya kijeshi, ikiwa ni pamoja na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Al-Mazzeh viungani mwa Damascus.
Kalima ya kutaka kupinduliwa kwa viongozi wa vikundi, kuregeshwa kwa maamuzi ya kijeshi, na kufunguliwa kwa mipaka.
Kalima iliyotolewa na Ustadh Mahrous Hazbar, Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria wakati wa kisimamo cha usiku kilichoandaliwa na Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Azaz kikitaka kuregeshwa kwa maamuzi ya kijeshi na kufunguliwa kwa mipaka.
Kisimamo cha Usiku “Kuna tofauti gani kati ya mshirika na mwongo mdanganyifu?!”
Kalima yenye kichwa “Jueni kwamba katika Mapinduzi yenu munaelekea Njia Panda!” Imetolewa na Ustadh Abdo Al-Dalli (Abu Al-Mundhir), Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa matembezi ya Takbira, Tahlil na Tahmid 1445 H katika mji wa Deir Hassan kwa mnasaba wa ujio wa siku kumi za mwanzo za Dhu al-Hijjah mwaka wa 1445 H – 2024 H na Idd ul-Adha Iliyobarikiwa.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kalima ya Kisimamo cha Ijumaa “Kusimama Thabiti juu ya Haki ni Njia ya Manabii na Wakweli!”