Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria “Maandamano ya Kafr Takharim dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kisimamo kilicho andaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Kafr Takharim viungani mwa Idlib Magharibi kiligeuka na kuwa maandamano dhidi ya matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad.