Ijumaa, 10 Shawwal 1445 | 2024/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan: Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu, “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan ilitoa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumada al –Awwal 1441 H – 10 Januari 2020 M

Kauli ya Saifullah Mustanir

Mkurugenzi wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Afghanistan

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumanne 19, Jumada al-Awwal 1441 H -  14 Januari, 2020 M

Kauli ya Ustadh HabibAllah

Mwanachaama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Afghanistan

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumanne 19, Jumada al-Awwal 1441 H -  14 Januari, 2020 M

Ili kupata habari zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan
Ukurasa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan
Akaunti ya Youtube ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan

Alama Ishara za Kampeni:

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu