Siasa ya Kivitendo ya Marekani Juu ya Urusi Na China
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ametangaza Rais wa Marekani Obama katika tarehe 29/12/2016 ambapo ni wiki tatu kabla ya kuondoka kwake (madarakani), mfulululizo wa adhabu kali dhidi ya Urusi zenye kujumuisha kufukuzwa kutoka Marekani kwa idadi kubwa ya wanadiplomasia wa Urusi “ambao ni 35” na kufungwa kwa balozi/majumba ya wanadiplomasia wa Urusi huko Maryland na New York kwa kisingizio cha ujasusi…