Hizb ut Tahrir / Malaysia: Hizb ut Tahrir Inamtaka Modi Kusitisha Mateso dhidi ya Waislamu nchini India
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
KUALA LUMPUR, Tarehe 6 Machi, 2020. Licha ya kuwepo na machafuko ya kisiasa nchini Malaysia, Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) haikusahau madhila ya Waislamu nchini India ambao wanauliwa na Wahindu wenye misimamo mikali wakipata idhini ya Waziri Mkuu Narendra Modi.