Ijumaa, 24 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni, “Mpango wa Trump dhidi ya Msikiti Al-Aqsa!”

Ikiwa ni sehemu ya kampeni yake kuhusiana na Mpango wa Trump dhidi ya Msikiti Al-Aqsa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imesambaza toleo kutoka Hizb ut Tahrir kwa kichwa “Enyi Waislamu! Bali Enyi Majeshi ya Waislamu! Hakika Sisi Tunataka Mtunusuru. Hakika Adui Wenu Trump Amedhihirisha Meno Yake, Basi Panga Zenu Zivunje Meno yake.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali za Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari ili Kuwanusuru Watu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki iliandaa amali za kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwanusuru watu wa Turkestan Mashariki ambapo wanakandamizwa kwa mikono ya Wachina kwa anwani, “Nani Ataipa Nussrah Turkestan Mashariki… Nani Atasitisha Ukandamizaji wa Uchina?!” Ilifanyika baada swala ya Juma’ katika miji saba.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Australia: Nusra kwa Watu wetu Eneo la Turkestan Mashariki Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa China

Katika kujibu shambulizi la kinyama kwa Waislamu wenzetu wa Uighur Mashariki ya Turkistan yaliyo fanywa na serikali ya China, na pia chini ya muongozo wa Mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Australia ulitembelea Ubalozi wa China uliopo jijini Sydney

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu