Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah

Mwezi wa Rajab mwaka huu ni kumbukumbu ya tukio la kusikitisha katika historia ya Ummah wa Kiislamu, miaka 100 ya Hijria tangu kuanguka kwa dola yake tukufu na uongozi wake wa Kiislamu: Khilafah mikononi mwa adui wa Uislamu Mustafa Kemal na serikali za kikoloni za Magharibi.  Tukio hili baya lilikuwa na athari mbaya kwa maisha ya wanawake wa Kiislamu, watoto wao na familia zao, kwani walipoteza dola ambao daima ilikuwa mchungaji na mlinzi wa haki zao na mdhamini wa furaha na ustawi wao. Katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, kukosekana kwa Khilafah, maisha ya wanawake wa Kiislamu yamekuwa na alama ya kifo, uharibifu, aibu, huzuni na kukata tamaa.

Katika muktadha wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb ut-Tahrir chini ya uongozi wa amiri wa Hizb, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, kwa anwani "Juu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah. .. isimamisheni enyi Waislamu!”, Kitengo cha wanawake katika afisi kuu ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Rajab hii chazindua kampeni yake ya kiulimwengu kwa anwani [Miaka 100 ya dhulma, udhalilishaji na kukata tamaa ambayo wanawake wa Kiisilamu wameishi bila ya mlinzi wao na mchungaji wao "Khilafah"] ili kutoa mwanga juu ya athari chungu na za uharibifu wa kuvunjwa kwa Khilafah juu ya maisha ya wanawake wa Kiislamu ulimwenguni, na vile vile kuwasilisha ruwaza ile ambayo haki, majukumu na hadhi halisi ya wanawake yatakuwa chini ya kivuli cha utawala wa Kiislamu pamoja na da'wah ya kusimamisha kwa dharura dola ya Uislamu (Khilafah Rashida). Pia, katika kampeni hii, tutazivunja fahamu nyingi potofu na za kirongo juu ya ukandamizaji wa wanawake chini ya kivuli cha Khilafah. Katika kampeni hii, kwa sifa yetu kama wanawake wa Hizb ut-Tahrir, tunasema: Imetutosha miaka 100 ya mateso yasiyovumilika, udhalilifu na hasara! Tunahitaji kumaliza sura hii nyeusi kabisa katika historia ya Umma wa Kiislamu!

Dkt. Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Ili Kufuatilia Kampeni Hii kwa Lugha Nyenginezo -

Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

 #أقيموا_الخلافة fb tw ins
#ReturnTheKhilafah fb tw ins
#YenidenHilafet fb tw ins
#خلافت_کو_قائم_کرو fb tw ins
#TurudisheniKhilafah fb tw ins

Ili Kusoma Taarifa ya Kitengo cha Wanawake

Ambayo ilitangaza ndani yake uzinduzi wa kampeni yake katika kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah na athari yake kwa mwanamke na familia ya Kiislamu

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Bonyeza Hapa

Miaka 100 ya Misiba Ambayo Imewapata Mabinti wa Ummah Huu kwa kukosekana kwa Khilafah

Video kuhusu kuona ya mpangilio wa nyakati za matukio muhimu zaidi yaliyofuatia kuvunjwa kwa Khilafah. Kama sehemu ya kampeni ya Rajab, ambapo wanawake wa Ummah huu walipoteza dola ambayo imekuwa mlinzi na mchungaji wao kwa zaidi ya miaka 1,300 Hadithi zao, kwa kukosekana kwake, zimejaa misiba, mateso na taabu, na Waislamu wamegawanyika na kuwa kikundi dhaifu bila mlinzi wala mchungaji.

Jumatatu,  03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Wito Moto kutoka kwa Wanawake wa Ummah wa Kiislamu katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah! -

Jumatano,  05 Rajab 1442 H sawia na 17 Februari 2021 M

- Ujumbe kutoka kwa Wasichana wa Ash-Sham Kwenda kwa Umma wa Kiislamu -

Isimamisheni Enyi Waislamu!

Jumamosi, 15 Rajab 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

- Wito wa Kiulimwengu: Kutoka kwa Vijana wa Kiislamu wa Kulingania Khilafah! -

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

- Je, kwa Kuondoka Khilafah, Ahadi za Uongo za Magharibi kwa Wanawake wa Kiislamu Zimetimizwa?! -

Kabla ya kuvunjwa kwa Khilafah, ukoloni wa Magharibi kwa ardhi za Waislamu uliwapa wanawake katika ulimwengu wa Kiislamu ahadi nyingi za uongo za yale ambayo wakiachana na utawala wa Kiislamu na kukumbatia hadhara ya kisekula ya Kimagharibi unaoweza kuwaletea wanawake katika eneo hilo. Video hii inazungumzia baadhi ya hoja zilizowasilishwa na wakoloni hawa ambazo harakati za utetezi wa wanawake zinaendelea kuwasilisha katika zama zetu hizi kuunga mkono kujiweka mbali na hukmu za Kiislamu na kurudi katika kusimamisha tena Khilafah. Inachunguza uhakika wa madai yao na ikiwa ahadi za wakoloni za kile mfumo wa Magharibi utawaletea wanawake zimetimizwa katika uhalisia!

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Je, Miaka 100 Yakujitenga na Uislamu Haijatosha?! -

Imeandaliwa na Kuwasilisha na: Dada Nisrin Bouzafri

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

Minbar ya Ummah: Taarifa ya Wanawake wa Familia za Wale Waliokamatwa na Ujasusi wa Uturuki katika Mji wa Azaz!

Jumanne, 04 Rajab 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

- Fikra: Khilafah Kwangu Yamaanisha Nini! -

Imetayarishwa na Kuwasilishwa na: Dada Umm Suhaib Ash-Shami

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Machi 2021 M

- Kisha Itakuwepo Khilafah kwa Njia ya Utume! -

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

[Video Kamili ya Amali ya Semina ya Kiulimwengu]

- Mwanamke na Ulinganizi wa Kiulimwengu wa Khilafah -

Jumamosi, 15 Rajab 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

Mazungumzo ya Moja kwa Moja: Kwa nini Wanawake Ambao Wamesilimu hivi karibuni Wanataka Khilafah?

Mazungumzo baina ya akina dada kutoka Magharibi ambao wameukubali Uislamu na idadi yao inaongezeka, wakitaka kurudi kwa Khilafah Rashida, ambao wanauchukulia ndio mfumo bora kwa wanadamu badala ya mifumo na maadili ya kisekula ambayo wameshikamana nayo kwa miaka mingi ya maisha yao.

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Februari 2021 M

Basi Kuweni Pamoja Nasi

Mazungumzo ya Moja kwa Moja: Dori ya Wanawake ya Kivitendo katika Mageuzi ya Kisiasa

Halaqa ya majadiliano itafanyika siku ya Jumatatu 02/03/2021

Mwanamke yuko baina ya harakati na kujisalimisha, ima kujisalimisha katika uhalisia ama kukataa na kufanya kazi kwa ajili ya mageuzi.

Basi Kuweni Pamoja Nasi

Ili Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja Bonyeza Hapa

- Kalima ya Dkt Nawaz Iliyofasiriwa Kifaransa -

- Kalima ya Dkt Nawaz Iliyofasiriwa Kiholanzi -

Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja ya Semina Bonyeza Hapa

Jumanne, 11 Rajab 1442 H sawia na 23 Februari 2021 M

Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja ya Semina Bonyeza Hapa

Jumamosi, 08 Rajab 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

Upon the centenary anniversary of the destruction of the Khilafah, The Women’s Section in the Central Media Office of Hizb ut Tahrir presents an International Women’s Webinar:

“Women & The Global Call for The Khilafah”

With panelists from PALESTINE, TURKEY, INDONESIA, AMERICA, KENYA and BRITAIN

Join us for this momentous event on:

SATURDAY 27th FEBRUARY 2021

12pm GMT (3pm Madinah Time)

(Attendees can enter the webinar from 11.45 pm GMT onwards for registration purposes)

AN EVENT NOT TO BE MISSED!

Register NOW at:


https://www.eventbrite.co.uk/e/women-the-global-call-for-the-khilafah-registration-141484462837

Places are limited so please book early! WOMEN ONLY EVENT For further information please contact:


Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

أقيموا_الخلافة#
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
خلافت_کو_قائم_کرو#

- Women & The Global Call for The Khilafah - Trailer -

Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja ya Semina Bonyeza Hapa

Jumamosi, 15 Rajab 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

Ratiba ya misiba katika miaka 100 iliyopita

Kuvunjwa kwa Khilafah

Bila ya Khilafah

- Makala -

 

Kutokana na Kukosekana kwa Khilafah Hasara ambayo Wanawake Wamekumbwa Nayo ni Kubwa na Mbaya

Muslimah Ash-Shami (Umm Suhaib)

2 Rajab 1442 H - 14 Februari 2021 M

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu