Tufani ya Twitter
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khilafah Itatokomeza Mfumko wa Bei Uliokithiri, kupitia Sarafu ya Dhahabu na Fedha
Khilafah Itatokomeza Mfumko wa Bei Uliokithiri, kupitia Sarafu ya Dhahabu na Fedha
Wanachama wa Hizb ut Tahrir/ Uingereza walishiriki katika kisimamo cha kuwanusuru Waislamu wa Uyghur mbele ya Ubalozi wa China jijini London, na Ubalozi mdogo wa China jijini Manchester, Jumamosi tarehe 13/11/2021.
Hizb ut Tahrir / Kenya iliandaa muhadhara kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume (saw), wenye kichwa:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imekamilisha kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kutaka kufugwa kwa angani ya Pakistan kwa droni za mauaji na ndege za ujasusi za Amerika.
Mnamo siku ya Ijumaa, Oktoba 15, 2021, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa visimamo baada ya swala ya Ijumaa jijini Tunis na katika miji ya Kairouan na Sfax ili kukabiliana na upuuzi wa kisekula na njia ya kisiasa inayoharibu nchi.
Amali za umma zinazofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ziliendelea katika majimbo anuwai ya nchi ili kuunda rai jumla yenye utambuzi kuhusu vifungu vya Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na nidhamu tofauti tofauti za maisha.
Jumamosi, 9 Oktoba 2021, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina iliandaa visimamo vitatu mjini Ramallah, Hebron na Tulkarm, ambapo ilitoa wito kusonga kwa uhalisi kwa majeshi ya Waislamu kujibu uamuzi wa uvamizi wa kuwaruhusu Wayahudi kutekeleza ibada zao katika makawanda ya Msikiti wa Aqsa Uliobarikiwa.
Kwa kuzingatia masaibu wanayopitia Waislamu katika biladi tofauti tofauti ya ukandamizaji, umasikini, mauaji, kuhama makaazi, mauaji ya halaiki, na uchafuzi wa heshima kwa Rohingya, Uyghur, Kashmir na India, na hali duni ya maisha ya mamilioni ya wakimbizi katika kambi na kunyimwa kwao wengi mahitaji ya kimsingi nchini Syria, Yemen na Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kwengineko katika upande mmoja
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan imeendeleza amali umma inazozifanya katika maeneo mbalimbali ya nchi kutafuta rai jumla yenye kutambua hukmu za Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na nidhamu tofauti tofauti za maisha,