Urusi: Tafsiri ya Quran Ilitambuliwa Tena Kuwa ni Kitabu Cha Misimamo Mikali
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Agosti 19, Krasnoglinsky, Mahakama ya Wilaya ya Samara ilitangaza kuwa juzuu ya kwanza kati ya juzuu tatu ya toleo la tafsiri ya Quran kwa lugha ya Kirusi ya Abd ar-Rahman al-Saadi kuwa ni yenye misimamo mikali.