Je, Sio Muda Sasa wa Kusema ‘Ndiyo’ kwa Mabadiliko?
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Urasilimali unashindwa – muda wote umekuwa ni mfumo mbovu; ukiwanufaisha matajiri kwa gharama ya masikini au, kwa maana nyengine, kuwaweka wachache katika afya njema na wenye mafanikio kupitia kuwanyonya waliobakia katika dunia.