Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mamlaka ya Kihouthi Yamkamata Mmoja wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir kwa sababu ya Kauli ya Hukmu ya Sharia kuhusu Zaka!

Mamlaka ya Kihouthi ilimkamata Ndugu Abdullah Ali Al-Qadi kabla ya jua kuzama mnamo Jumanne, tarehe 27 Ramadhan iliyobarikiwa 1444 H, ambapo alitekwa nyara mbele ya nyumba yake katika mji mkuu, Sana'a, katika siku tukufu, kwa shtaka la kutaja hukmu tukufu, "Zakat kati ya mfumo wa Kiislamu na mfumo wa kisekula wa Houthi."

Soma zaidi...

Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah, Yemen na Nchi Zote za Kiislamu zimo katika Misiba. Kumbukumbu Hii na iwe ni Kichocheo cha Hatua ya Kuisimamisha

Katika siku hii, tarehe ishirini na nane ya mwezi wa Rajab al-Khair katika mwaka wa 1342 H, sawia na tarehe tatu ya mwezi Machi mwaka wa 1924 M, uhalifu mkubwa zaidi dhidi ya Waislamu ulifanyika, wakati Magharibi kafiri, ikiongozwa na Uingereza, iliweza kuivunja dola ya Kiislamu.

Soma zaidi...

Mahouthi Wanasubutu dhidi ya Sheria za Mwenyezi Mungu kwa Kuifanya iwe chini ya Uzoefu wa Kiarabu na Kimataifa!!!

Washiriki katika mjadala wa jopo, ulioandaliwa na Wizara ya Sheria na Chama cha Biashara na Viwanda katika mji mkuu, Sana'a, juu ya rasimu ya sheria ya kuzuia miamala ya riba iliyoandaliwa na Wizara ya Sheria, walipendekeza rasimu hiyo ipelekwe kwenye kamati ya kisheria, kiuchumi na Sharia kwa ajili ya uchunguzi kwa kuzingatia uzoefu wa Kiarabu na kimataifa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu