Silaha za Nyuklia nchini Pakistan ni Ngao kwa Umma wa Kiislamu kutokana na Maadui Wake
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Huku akikabiliwa na kuzorota kwa uchumi, jeshi lililovunjika moyo, machafuko ya ndani na uchaguzi mkali wa katikati ya muhula, Rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa meno yake dhidi ya Umma wa Kiislamu, ili kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu wake.