Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kisimamo cha Hizb ut Tahrir katika Mji wa Sidon “Ee Jeshi la Kinana, Wakati Umewadia”

Katika msururu wa visimamo vilivyofanywa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon, kuinusuru Gaza na ukakamavu wake dhidi ya mashini ya kihalifu ya kijeshi ya umbile la Kiyahudi, na kuyachochea majeshi kuchukua nyadhifa za fahari zinazohitajika kutoka kwao, hasa jeshi la Kinana Misri, jeshi la Jordan, na majeshi ya Waislamu, ambayo yanaorodheshwa kati ya majeshi ya kwanza duniani kwa idadi na vifaa.

Soma zaidi...

Kila Kilevi ni Khamr (Pombe) na kila Kilevi ni Haram

Mnamo Mei 22, 2024, kupitia agizo kuu, Gavana wa Mombasa Abdul Swamad Shariff Nassir alipiga marufuku uingiaji, usambazaji, uuzaji na ulaji wa muguka (aina ya kichocheo maarufu kinachojulikana kama Khat au Miraa) au bidhaa zake Mombasa. Agizo sawia na hilo lilitolewa na magavana wa kaunti za Kilifi na Taita Taveta ambao waliapa kukabiliana na uuzaji na matumizi yake.

Soma zaidi...

Baada ya Shambulizi la Kinyama la Mabomu la Kambi za Wakimbizi mjini Rafah, Ni Dhahiri kwamba Ummah na Majeshi Yake Lazima Wawang'oe Watawala na Kusimamisha Tena Khilafah Rashida

Mnamo usiku wa tarehe 26 Mei 2024, umbile la Kiyahudi lililenga kambi ya wakimbizi mjini Rafah, na makombora yakilipua miili ya wanawake na watoto hadi vipande vipande. Vichwa vya watoto vilitenganishwa na miili yao midogo, huku watu kadhaa wakiteketezwa hadi kufa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu