Jumapili, 27 Safar 1446 | 2024/09/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Juu ya Tukio la Ukumbusho wa Ukombozi wa Konstantinopoli mnamo 857 H – 1453 M

Zipo siku zinazong’aa katika historia za mataifa ambazo ni chanzo cha ufahari wa mataifa hayo. Kwa hiyo itakuwaje ikiwa siku hizo zitakuwa ni katika kutimia kwa bishara njema za Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw)? Bila shaka zitakuwa ni nyota zenye kung’aa angani, bali ni jua linalotoa nuru kwa ulimwengu na kulinyanyua taifa hilo juu angani… Na katika siku hizo tukufu, zipo siku za ukumbusho wa ukombozi wa Konstantinopoli…

Soma zaidi...

Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: "Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia... inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!"

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraklias) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka

Soma zaidi...

Utawala wa Urusi Umemuhukumu Jannat Bespalova Miaka Mitano Jela!

Mnamo 18 Julai, katika mji wa St.Petersburg, mwanamke wa Kiislamu Jannat Bespalova (Alla Bespalova) alipatikana na hatia kwa kushiriki shughuli za Hizb ut Tahrir kutokana na kukiri kwa Bespalova juu ya mashataka hayo dhidi yake na kunyimwa haki ya kupinga uamuzi huo na mahakama haikuutilia maanani ushahidi wake na badala yake kumfunga kifungo cha miaka mitano gerezani.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia Inatangaza Uzinduzi wa Kampeni: Na nani aliye mbora zaidi katika kuhukumu kuliko Mwenyezi Mungu

Tunisia hivi sasa imo katika kipindi kigumu baada ya wale tuliowafikiria kuwa ni watawala kuyatelekeza majukumu yao msingi na kuziwachia dola za msalaba za kikoloni na wafanyikazi wake ndani ya Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha la Kimataifa kuamua sera za kiuchumi, kifedha na kijamii mpaka nchi ikadhibiti usambaratikaji wa kiuchumi licha ya kwamba kulikuwa na madeni makubwa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu