Ardhi Iliyo Barikiwa Iko katika Miadi ya Kukombolewa Usawazishaji Mahusiano wa Imarati ni Ukurasa Mweusi Ulioongezwa katika Kurasa za Watawala Makhaini!!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Imarati na umbile la Kiyahudi zimekubaliana kuasisi mahusiano kamili ya kidiplomasia baina yao, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyo tolewa na Waziri Mkuu wa umbile la Kiyahudi Benjamin Netanyahu, Mfalme Mtarajiwa wa Abu Dhabi Mohammed bin Zayed Al Nahyan na Raisi wa Amerika Donald Trump.