Katika Kuikumbuka Hijra ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) Yenye Kunukia na Kuzaliwa kwa Dola ya al-Madina al-Munawwara
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kila mwaka katika siku hii, Tarehe Moja Muharram al-Haraam, Waislamu hukumbuka kumbukumbu inayonukia kutoka katika historia ya hadhara yao tukufu; kumbukumbu ya kuzaliwa Ummah bora ulioletwa kwa watu, kupitia kusimamishwa Dola ya Haki duniani,