Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 315
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 315
Vichwa Vikuu vya Toleo 315
Kwa kutia saini Baraza la Mawaziri juu ya kuondolewa vipingamizi vya hapo awali kwa Mkataba wa Afrika juu ya Haki na Ustawi wa Mtoto; Ambao umejengwa juu ya hadhara ya Kimagharibi
Kwa neema ya Mwenyezi Mungu (swt), kisimamo kilicho pangwa na kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kilifanyika, na kina dada walioshiriki walipanga foleni na kubeba miito ya kulaani utiaji saini Mkataba wa Kiafrika juu ya Haki za Mtoto, ambapo iliandikwa kwenye mabango
Maeneo mingi katika mikoa yote ya kusini mashariki na kusini magharibi mwa Tunisia, hadi mkoa wa Sfax, yanashuhudia uhaba wa chupa za gesi ya nyumbani, ambayo inasababisha madhara makubwa kwa watu,
Nilikutana na Naveed Butt kwa mara ya kwanza kwenye darsa aliyokuwa akihutubia katika Bustani ya Aziz Bhatti jijini Karachi, kabla ya kuwa mwanachama wa Hizb ut Tahrir.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Sudan ilifanya Kongamano Jumuishi la Wakuu wa Makabila, Viongozi, na Wanachuoni Mashariki mwa Sudan katika Mji wa Gadharif, leo, Jumamosi tarehe 21/11/2020 M,
Kutoka kwa Saad bin Abi Waqas (ra) amesema: "Nilisema, Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, ni watu gani walio na balaa zaidi?" Akasema: "Manabii, na wema kisha mfano wao kwa mfano wao.
Wilayah Syria: Kisimamo cha Mji wa Qah "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"
["Mapema mnamo siku ya Ijumaa, Bunge la Kyrgyz liliidhinisha kujiuzulu kwa Rais Sooronbay Jeenbekov, na kufutilia mbali hali ya hatari, ambayo ilitangazwa wiki moja iliyopita katika mji mkuu, Bishkek ..." (www.yenisafak.com/ar/,16 / 10/2020)].
Mshauri wa Waziri Mkuu juu ya Fedha na Mapato Dkt Abdul Hafeez Shaikh alituma ujumbe katika mtandao wa Twitter mnamo Alhamisi 19 Novemba 2020, kwamba