Na kwa Amos Hochstein Zinakuja Habari Halisi!
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumanne, Juni 14, 2022, Gazeti la Al Joumhouria lilichapisha habari kwenye tovuti yake yenye kichwa "Hockstein atangaza: Jibu la Lebanon lasukuma mazungumzo mbele," ambacho ni dondoo ya mahojiano ya kipekee na mpatanishi wa Marekani katika faili ya kuweka mipaka ya mafuta ya baharini kati ya Lebanon na umbile la Kiyahudi, Amos Hochstein, na Chaneli ya Al-Hurra.