Miaka 100 ya Kiza, Utovu wa Heshima na Kukata Tamaa kwa Mwanamke wa Kiislamu kwa Kukosekana kwa Ngao na Mlinzi wake – Khilafah
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinzi wa Raia wa Syria ulisema kwamba idadi ya kambi za wasio na makao ambazo zimeharibiwa na mvua na theluji katika Gatuzi la Idlib (kaskazini magharibi mwa Syria) zimeongezeka hadi kambi 225, ikiashiria kwamba idadi ya familia ambazo sasa hazina makao imefikia familia 3,200.
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yatangaza kuzinduliwa kwa kampeni ya kimataifa ya kunyanyua uelewa wa ulimwengu juu ya dhulma kubwa na unyanyasaji unaowakabili Waislamu nchini Sri Lanka,
Watoto wa Nigeria Watatishwa Mpaka Lini?!
Wavuti wa Kiarabu ya BBC, chini ya kichwa "Unyanyasaji: siri iliyofichuliwa katika maisha ya waandishi wa habari wa kike wa Kiarabu," uliwasilisha hali tatu mbaya kwa waandishi wa habari wa kike kutoka nchi tofauti za Kiarabu, ambao walizipitia wakati wakiendelea na kazi zao.
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa lilitangaza, mnamo siku ya Alhamisi tarehe 12/11/2020, kwamba wahamiaji 74 waliuawa wakati boti lao lilipozama katika pwani ya Libya
Siku ya Alhamisi Septemba 17, wabunge wa Ufaransa kwa mara nyengine tena waliweka wazi ubaguzi wa rangi, dhidi ya Uislamu, wa serikali ya kisekula uliokithiri nchini Ufaransa kwa upande wa kutoka bila sababu katika kikao cha uchunguzi kilichofanyika katika Bunge la Ufaransa,
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua Kampeni: "KOMESHA Vitisho kwa Wanawake WachaMungu wa Kiislamu wa Kyrgyzstan!"
Mwanamke mmoja wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 23 aliuwawa shahidi na risasi za majeshi ya uvamizi ya Kizayuni wakati wa ghasia katika mji wa Jenin,
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serb yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.