Gaza ina Vifusi Vingi kuliko Ukraine, na Dada zetu na Watoto Wetu ndio Wengi wa Wafu Wanaozikwa Chini Yake
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Shirika la Wanawake la UN lilitoa ripoti mnamo mwezi Aprili 2024, kuhusu hali ya wanawake na watoto mjini Gaza. Miezi sita ya vita hivyo, zaidi ya wanawake 10,000 wameuawa, kati yao kina mama wanaokadiriwa kufikia 6,000, na kuacha watoto 19,000 wakiwa yatima.