Majibu kwa Uzushi wa Dar al-Ifta ya Misri
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uislamu umelitambua jambo la ijtihad, ambapo Mujtahid anatia juhudi yake kuvua hukumu ya kifiqhi ya kivitendo kutoka kwa dalili zake fafanuzi katika machimbuko ya sheria na kuipachika juu ya uhalisia wa mada (Manat) ya hukumu hiyo.