“Mfano wa waliobebeshwa Taurati kisha wasiibebe, ni kama mfano wa punda anaye beba vitabu vikubwa vikubwa.”
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa wepesi, swali ni: Je, majeshi, wanamgambo na mashirika yanapigania nini, kuanzia Syria mpaka Yemen mpaka Libya, Misri na Iraq? Nani anamuua nani na kwa nini?