Kitengo cha Wanawake: Kampeni ya Ramadhan: "Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo"
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kitengo cha Wanawake Kampeni ya Ramadhan Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo
Kitengo cha Wanawake Kampeni ya Ramadhan Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo
DVD ya Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya 99 ya Kuvunjwa Khilafah 1441 H – 2020 M
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwafikishia wafuasi na wanao zuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari CD mpya kwa anwani: CD ya Gazeti la Al-Raya Toleo la 4 (Nambari 171 - 270)
Chini ya muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir ilizindua kampeni pana ya kiulimwengu ya kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka Khilafah.
Tangazo la Beijing na Uingizaji wa Siasa Katika Masuala ya Wanawake
Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah.
Virusi vya korona (Covid-19) vimeenea ulimwenguni mashariki na magharibi, vimesimamisha mambo ya kimaisha ya kila siku, na watu wenyewe wametii kujifungia ndani majumbani mwao kwa hofu ya maambukizi
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Malaysia iliandaa kongamano lao la kila mwaka "Kongamano la Khilafah 2020" chini ya anwani: "Kurudi kwa Khilafah ili Iongoze Ulimwengu"
Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni nzito kupitia mitandao ya kijamii kwa kichwa, “#KhilafahHuwakingaWanawake.”