Bangladesh Yahitaji Dola ya Khilafah ili kuwa Huru kutokana na Utumwa wa Ukoloni Mamboleo
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bodi kuu ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) imeidhinisha mpango wa usaidizi kwa Bangladesh wenye thamani ya $4.7bn kwa viwango vya sasa vya ubadilishanaji fedha, na kuifanya nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kuwa ya kwanza kufikia Mfumo wake mpya wa Ustahimilivu na Uendelevu (RSF).