Mauwaji ya Waislamu 49 Wakati wa Swala ya Ijumaa
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Masikitiko yetu ya dhati yaenda kwa waathiriwa na familia zao waliolengwa katika shambulizi baya zaidi la kigaidi wakati wa swala ya Ijumaa mnamo 16 Machi eneo la Christchurch, New Zealand, ambapo watu 49 walichinjwa na mwanamgambo