Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 419
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 419
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 419
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"
Silaha za kisasa za majeshi waoga wa Amerika hazikulingana na Waislamu wenye silaha duni ambao hawakumuogopa yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu (swt), huku wakitamani kuuawa mashahidi au ushindi.
Mnamo Jumamosi, 28 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na tarehe 07/08/2021 M, Jukwaa la Kadhia za Umma la Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan lilifanyika katika ukumbi wa afisi ya hizb jijini Khartoum,