Kwa Kuamua Kuzuia Haki Msingi ikiwemo Elimu, za Waislamu wa Rohingya Hasina Msekula Afichua Sura Yake Ovu ya Unyama
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo Agosti 12, 2021, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bangladesh ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ilitangaza kwamba Sheikh Hasina ameidhinisha sera ya kutoruhusu kuboresha viwango vya maisha vya kambi za wakimbizi wa Rohingya,