Pazeni Sauti kwa Ajili ya Kuachiliwa Huru kwa Muneeb ur Rehman kutokana na Utekaji Nyara. Kulingania Kwake Kuunganishwa kwa Ulimwengu wa Kiislamu Chini ya Khilafah, ni Wajib sio Uhalifu
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Muneeb Ur Rehman, mtetezi wa Khilafah, alitekwa nyara mchana kweupe mnamo Ijumaa 20 Agosti 2021, kabla ya Swala ya Ijumaa, na mashirika ya ujasusi ya Pakistan.