Vichwa vya Habari 21/07/2021
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kulingana na taarifa za vyombo vya habari serikali ya India inajiandaa kutengeza njia ya mawasiliano na Taliban ingawa kwa muda mrefu imekuwa ikiisaidia serikali iliyoongozwa na Rais Ashraf Ghani. Kwa miaka, New Delhi imeisaidia serikali ya Afghan kwa pesa, silaha na wataalamu, na kutoijali harakati ya Taliban na washirka wake