Afisi Kuu ya Habari: Kitengo cha Wanawake "Ualishi wa Kuhudhuria Kongamano la Wanawake nchini Denmark"
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ualishi jumla kutoka kwa dada mheshimiwa Dkt Nasreen Nawaz / Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi ya Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kuhudhuria kongamano la Wanawake nchini Denmark, ambalo litafanyika mnamo siku ya Jumapili 19/09/2021 M chini ya anwani: