Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (422-423)
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (422-423)
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (422-423)
Hotuba ya tarehe 3 Novemba 2021 ya Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan, kuhusu mfumko wa bei ilikuwa ni kuandaa maoni kwa kundi jengine la sera angamivu za kiuchumi za IMF.
Khilafah Itatokomeza Mfumko wa Bei Uliokithiri, kupitia Sarafu ya Dhahabu na Fedha
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.