Sarafu ya Khilafah ya Dhahabu na Fedha Itamaliza Mfumko wa Bei, Unaosababishwa na Uchapishaji Pesa ili Kukidhi Matumizi ya Serikali
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Nchini Pakistan, kuanzia Julai 2018 hadi Juni 2021, rasilimali iliyo katika mzunguko ilipanuka kwa bilioni 2,300, huku amana za benki ziliongezeka kwa bilioni 6,000.