Mwacheni Huru Naveed Butt Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan Ilituma Ujumbe kwa Tume ya Haki za Binadamu Pakistan
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan ilituma wajumbe kwa Tume ya Haki za Kibinadamu Afisi za Pakistan jijini Karachi, Lahore na Islamabad.