Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Umoja Chini ya Khilafah Utaimarisha Uchumi Wetu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Khilafah itakusanya rasilimali zetu nyingi kama dola moja Mafuta ya Saudi Arabia na Iran
Khilafah itakusanya rasilimali zetu nyingi kama dola moja Mafuta ya Saudi Arabia na Iran
Ajenda ya Uturuki inatikiswa na kuporomoka kwa kiasi kikubwa kwa lira ya Uturuki dhidi ya dolari ya Amerika. Dolari ya Amerika, ambayo ilikuwa sawa na takriban lira 6 za Uturuki kipindi hiki mwaka jana, imevuka kiwango cha lira 13 za Uturuki.
Kwa uchache watu wanane waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati ghasia, haswa mapigano kati ya wafuasi wa wagombea, yalivuruga uchaguzi wa awamu ya tatu wa muungano wa parishad jana...
Wiki hii, Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alitangaza ufadhili wa Euro bilioni 300 kwa mpango wa Global Gateway ambao ni jibu la EU kwa Mpango wa Ukanda na Barabara wa China. Rais wa EC alisema,