Uhakiki wa Habari 20/08/2022
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ilifichuliwa wiki hii kwamba Waziri Mkuu wa zamani wa Australia Scott Morrison alichukua mamlaka kwa siri ya nyadhifa nyengine tano za baraza la mawaziri alipokuwa akiongoza serikali.