Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 405
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 405
Vichwa Vikuu vya Toleo 405
Takriban wasomi 20 walimwandikia barua Waziri Mkuu Modi wakitaka kupigwa marufuku kwa vitabu vinavyohusiana na Uislamu wa kisiasa katika vyuo vikuu vinavyofadhiliwa na serikali. Pia kumekuwepo na visa vyengine vya vijana wa Kiislamu kukamatwa kwa kushukiwa kujihusisha na ISIS.
Mauaji ya wanawake wadogo yanaendelea. Watu hujishughulisha na sababu na dhurufu za uhalifu mmoja hadi uhalifu mwengine utakapotekelezwa. Matukio ya kikatili yaliwafanya watu washangae kuhusu sababu za vurugu hili la kupindukia, na kuwafanya wadai kutekelezwa kwa aina za juu zaidi za adhabu kama zuio.
Tangazo la uamuzi wa kubadilishana uteuzi wa mabalozi lilichukuliwa kama moja ya hatua za mchakato wa kuhalalisha mahusiano unaoendelea kati ya Uturuki na umbile nyakuzi la Kiyahudi tangu mwaka jana. Wakati Waziri Cavusoglu aliposema: "Kama Uturuki, tumeamua kumteua balozi huko Tel Aviv.