Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1445 H – 2024 M

Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M, Mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile nyakuzi la kutisha la Kiyahudi yanaendelea dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, ambapo imesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake zaidi ya 85,000 hadi kufikia sasa, ambao wengi wao ni wanawake, watoto na wazee. Kwa mnasaba huu, Hizb ut Tahrir anaandaa amali pana za umma katika nchi zote zinazofanya kazi ili kuhamasisha azma ya Waislamu kufanya kazi kwa bidii ili kusimamisha Dola ya pili ya Khilafah Rashida kwa njia ya Utume. Kwani ni hii pekee ndiyo yenye izza ya ulimwengu huu na wokovu wa Akhera, na hii pekee ndiyo uwezo wa kuikomboa dunia na wanadamu kutokana na jinai ukafiri. Sisi, katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kupitia ukurasa huu, tutatoa angazo kamili la amali hizi, tukimuomba Mwenyezi Mungu aharakishe kusimama kwa Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Ijumaa, 07 Rajab Tukufu 1445 H sawia na 19 Januari 2024 M

Ujumbe wa Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah

   
   
   

Ili Kupakua DVD

Bonyeza Hapa

#ReturnTheKhilafah

 Afg Twetter

#TurudisheniKhilafah

أقيموا_الخلافة#

 Af Facebook #EstablishKhilafah

#YenidenHilafet

 Afg Inst

خلافت_کو_قائم_کرو#

Hizb ut Tahrir

Enyi Majeshi katika Ardhi za Kiislamu!

Imetosha! Je, Munasubiri amri ya mtawala kuinusuru Gaza Hashem?

18 Rajab 1445 H - 31 Januari 2024 M

Wilayah Pakistan

Watawala wa Pakistan Wametoa Kiapo cha Utiifu kwa Mfumo wa Kimataifa unaoongozwa na Marekani, Kuyafanya Watumwa Majeshi Yetu, Kuuweka Uchumi Wetu Rehani kwa Taasisi za Kimataifa na Kuufanya Mfumo Wetu wa Utawala na wa Kisiasa Mtiifu kwa Magharibi

13 Rajab 1445 H - 25 Januari 2024 M

Wilayah Tunisia

Kutoka Tunisia hadi Kimbunga cha Al-Aqsa

Mapinduzi ya Umma Yataendelea Hadi Khilafah Isimame na Ukombozi wa Palestina

2 Rajab 1445 H - 14 Januari 2024 M

 

Wilayah  Pakistan

Enyi Maulamaa Waheshimiwa wa Pakistan! Gaza Inaungua, Huku Watawala wa Pakistan waki ni Watazamaji Wasiochukua Hatua. Lazima Muwanusuru Waislamu wa Gaza, kwa Kutoa Wito wa Jihad kwa Wanajeshi wa Pakistan kwa ajili ya Ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina

21 Jumada I 1445 H - 05 Disemba 2023 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Yemen

Ni Mwaka Mwingine wa Hijria Unaotuleta Karibu na Kusimamishwa Khilafah

1 Sha'aban 1445 H - 11 Februari 2024 M

  

Mhandisi Salah Eddine Adada Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Tarehe 28 Rajab Mwaka huu ni Ukumbusho Mkubwa kuliko Miaka Yote Iliyopita kwamba Kuregea kwa Khilafah ni Hitajio la Haraka

28 Rajab 1445 H - 09 Februari 2024

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Afghanistan

Mnamo Tarehe 28 Rajab, ni Mwaka wa 103 Tangu Kuondolewa Khilafah ya Kiislamu

28 Rajab 1445 H - 09 Februari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

Ushindi wa Mujahidina katika Operesheni ya Al-Maghazi na Mauaji ya Makumi ya Wanajeshi wa Uvamizi ni Pigo Uchungu kwa Umbile Duni la Kiyahudi na Kofi Katika Nyuso za Watawala wa Udhaifu na Utegemezi

15 Rajab 1445 H - 27 Januari 2024 M

 

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Serikali Iliyofeli katika Kila Kitu Isipokuwa katika Usababishaji Umaskini na Ukusanyaji Pesa za Haramu!

13 Rajab 1445 H - 25 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kyrgyzstan

Unafiki wa Mashirika ya Kimataifa na Ukandamizaji wa Serikali

13 Rajab 1445 H - 25 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Kuongezeka kwa Misimamo Mikali ya Hindutva ni Matokeo ya Moja kwa Moja ya Sera ya Kisekula ya Kigeni ya Pakistan! Khilafah Itapitisha Sera ya Kigeni, iliyojengwa juu ya Msingi wa Kubeba Ujumbe wa Kiislamu wa Tawhid kwa Ulimwengu Mzima

13 Rajab 1445 H - 25 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Misri 

Serikali ya Misri Yawapa Watu Asali huku Wakinywa Sumu Mikononi Mwake!

12 Rajab 1445 H - 24 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Chombo cha Usalama huko Kerkennah Kinawafuatilia Wanaotafuta Kuwaokoa Watu Wetu huko Gaza Wakitoa Wito kwa Majeshi Kuwanusuru, Na Kuwachukulia kuwa ni Washukiwa wa Uhalifu Wanaostahili Kuchunguzwa na Kukamatwa!!

11 Rajab 1445 H - 23 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Hata kama Serikali zote za Magharibi na Mawakala wao katika Ulimwengu wa Kiislamu Wataipiga Marufuku Hizb ut Tahrir, Hizb ut Tahrir Itasimamisha Tena Khilafah na Kung'oa Mfumo wa Kilimwengu wa Magharibi, Kwa Idhini ya Mwenyezi Mungu (swt)

10 Rajab 1445 H - 22 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Iraq

Hizb ut Tahrir Inalipa Gharama ya Kutetea Masuala ya Ummah na Kutoa Wito kwa Majeshi yake Kuwanusuru Watu wa Gaza

10 Rajab 1445 H - 22 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Badala ya Kunyesheza Makombora jijini Tel Aviv kwa ajili ya Ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina, Majeshi ya Waislamu Yanarushiana Makombora katika Maeneo Yao Wenyewe katika kwa Sababu ya Upotofu fikra ya Dola ya Kitaifa

9 Rajab 1445 H - 21 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Denmark

Marufuku ya Uingereza juu ya Hizb ut Tahrir:
Udhibiti wa Kutapatapa na Unafiki wa Hali ya Juu

7 Rajab 1445 H - 19 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Iraq

Hakuna Ubwana Isipokuwa katika Khilafah

5 Rajab 1445 H - 17 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Misri

Mayahudi Wamefichua Mzingiro wa Utawala wa Misri kwa Watu wa Gaza na Kuwa ni Mshirika katika Uhalifu wake Dhidi Yao!

4 Rajab 1445 H - 16 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Hizb ut Tahrir / Uingereza Yalaani Tangazo la Serikali ya Uingereza Kukipiga Marufuku Chama Hiki

3 Rajab 1445 H - 15 Januari 2024 M

 

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Umbile la Kiyahudi ni Kivuli cha Tawala za Kiarabu. Kitu Kinapotoweka, Kivuli Chake pia Hutoweka

1 Rajab 1445 H - 13 Januari 2024 M

Sasa Je? Je, tunaweza kufanya nini ili kuleta mabadiliko?

Musab Umair – Wilayah Pakistan

1 Sha'aban 1445 H - 11 Februari 2024 M

  

Wale ambao hawako upande wa Haki wanakuwa ni Walinzi wa Batili

Ahmet SAPA

16 Rajab 1445 H - 28 Januari 2024 M

 

Marufuku ya Uingereza ya Hizb ut Tahrir Imepitwa na Wakati

Bilal Al-Muhajir – Wilayah Pakistan

14 Rajab 1445 H - 26 Januari 2024 M

 

Upigaji Marufuku na Ususiaji Inamfanya tu Mbebaji Dawah Kuwa Imara Zaidi!

Imrana Mohammad

12 Rajab 1445 H - 24 Januari 2024 M

 

Kauli Mbiu Tupu na Miito ya Faragha

Haitham Ibn Thbait

11 Rajab 1445 H - 23 Januari 2024 M

 

Mithili ya Watawala wa Kiarabu, Watawala wa Kiajemi Wanaitelekeza Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina

Musab Umair – Wilayah Pakistan

10 Rajab 1445 H - 22 Januari 2024 M

 

Ushindi kwa Ujumbe wa Uislamu Kimataifa

Ali Nassoro (Abu Taqiuddin)

10 Rajab 1445 H - 22 Januari 2024 M

 

Bishara Njema ya Kurudi Khilafah Inatutaka Tufanye Matendo Mema ili Tupate Ushindi wa Mwenyezi Mungu (swt)

Musab Umair – Wilayah Pakistan

10 Rajab 1445 H - 22 Januari 2024 M

 

Uingereza, kwa Chuki zake dhidi ya Uislamu na Waislamu, Yauita Ulinganizi Wetu wa Kuinusuru Gaza kuwa ni Ugaidi, huku Mikono yao Ikichuruzika Damu yetu, na Wanashindwa Kuuona Ukatili wao Wenyewe kama Ugaidi!

Mhandisi Baher Saleh - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

8 Rajab 1445 M - 20 Januari 2024 M

 

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza Inataka Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir

Abdul Rahman Al-Ayoubi

7 Rajab 1445 H - 19 Januari 2024 M

 

Je, Watawala wamefanya nini hasa, zaidi ya Kuruhusu Tuchuruzike Damu?

Fatima Musab

4 Rajab 1445 H - 16 Januari 2024

Hizb ut Tahrir / Amerika:

Kongamano la Khilafah 2024 “Gaza: Migogoro na Suluhisho – Dori ya Waislamu wa Amerika”

Hizb ut Tahrir/Amerika inaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu wa 2024 chini ya kichwa:

 “Gaza: Migogoro na Suluhisho - Dori ya Waislamu wa Amerika”

Kongamano hili la kila mwaka la Khilafah litawasilisha msururu wa mihadhara yenye thamani inayozungumzia masuala ya kihistoria na kisiasa ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na litatoa njia ya kusonga mbele kwa Waislamu wa Amerika kusaidia kuwanusuru kaka na dada zao huko Gaza.

Jumamosi, 22 Sha'aban 1445 H – 02 Machi 2024 M

Bonyeza Hapa kwa maelezo kamili na video

Al-Waqiyah TV:

Kampeni “Inatosha Miaka 100 ya Unyonge!”

Katika mwezi wa Rajab Tukufu mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi kwetu kumbukumbu ya uchungu ya miaka 103 H na 100 M ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo iliasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw), na maswahaba zake watukufu (ra), na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H, sawia na 03/03/1924 M, na ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ilipotea kwa kupotea Imam ambaye ni ngao, Khalifa wa Waislamu ambaye kwaye wanapigana nyuma yake na kujihami..Bali Umma wa Kiislamu ulipotea na vivyo hivyo fahari yake na adhama yake, na hata nchi yake na utajiri wake..

Ijumaa, 28 Rajab Tukufu 1445 H – 09 Februari 2024 M

Bonyeza Hapa kwa maelezo kamili na video

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Semina kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya 103 ya Kuvunjwa Khilafah

Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali na semina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 103 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Ijumaa, 28 Rajab Tukufu 1445 H – 09 Februari 2024 M

Bonyeza Hapa kwa maelezo kamili na video

Wilayah Sudan: Jukwaa la Kadhia za Umma

“Miaka 103 tangu Kuvunjwa kwa Khilafah... Maumivu na Matumaini ya Umma wa Kiislamu”

Kama sehemu ya amali za Rajab, juu ya ukumbusho wa kuvunjwa kwa Khilafah, na chini ya jkichwa “Miaka 103 tangu Kuvunjwa kwa Khilafah... Maumivu na Matumaini ya Umma wa Kiislamu,” Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan ilifanya, na ndani ya msururu wa vikao vitatu vya mwezi wa Rajab katika mji wa Gadharef. Hizb ilifanya kongamano la kwanza kati ya vikao hivyo mnamo siku ya Jumamosi, 8 Rajab 1445 H sawia na 20/01/2024 M.

Bonyeza Hapa kwa maelezo kamili na picha

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu