Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uingereza: “Kutoka India Hadi Al-Quds”

Hizb ut-Tahrir / Uingereza yaandaa kongamano la kila mwaka la Khilafah chini ya kichwa:

“Kutoka India Hadi Al-Quds!”

Jijini London (Jumamosi 16 Julai) na jijini Birmingham (Jumapili 17 Julai), ambapo makongamano haya yataangazia:

1) Hindutva na Uzayuni ni pande mbili za sarafu moja

2) Uhalisia wa kijiografia na kisiasa wa ulimwengu leo

3) Dori yetu katika kuwakomboa Waislamu wanaoteswa

Sera za Uzayuni na Hindutva zinazoendeshwa na chuki dhidi ya Umma wa Kiislamu zinaendelea bila kusitishwa huku wale wanaojiita walinda amani wa dunia wakiwa ni washirika wao wa kimya kimya.

Tutajadili jinsi tunavyoweza kumaliza hilo; Je, madai na vitendo vyetu vinapaswa kuwa vipi ili kuukomboa Umma unaodhulumiwa?!

Basi kuweni pamoja nasi...

Ijumaa, 25 Dhul-Qa’adah 1443 H - 24 Juni 2022 M

- Video ya Ripoti ya Habari ya Kongamano la Khilafah Jijini London na Birmingham -

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Kutoka Al-Hind hadi Al-Quds - Simamisheni Khilafah - Komesheni Ukandamizaji

18 Dhul-Hijjah 1443 H - 17 Julai 2022 M

Bonyeza Hapa

- Sehemu ya Amali ya Kongamano la Khilafah Jijini London -

- Sehemu ya Amali ya Kongamano la Khilafah Jijini Birmingham -

- Video ya Ualishi wa Kongamano -

- Video Fupi: Je, Utabakia Kimya?! -

Hotuba ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Amali ya Kongamano la Khilafah la kila Mwaka lililofanyika nchini Uingereza

Jumamosi, 17 Dhul-Hijjah 1442 H - 16 Julai 2021 M

Ili Kusoma Nakala ya Hotuba Bonyeza Hapa

“Dola za Kitaifa - Kisingizio cha Kutochukua hatua”

Hotuba ya Dkt. Nazreen Nawaz Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Amali ya Kongamano la Khilafah la kila Mwaka lililofanyika nchini Uingereza

Jumamosi, 17 Dhul-Hijjah 1442 H - 16 Julai 2021 M

Ili Kusoma Nakala ya Hotuba Bonyeza Hapa

- Alama Ishara za Kampeni -

#HTBConference2022

#India

#Palestine

#Pakistan

#Bangladesh

#HizbBritain

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Uingereza

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Uingereza

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu