Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Afisi Kuu ya Habari: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H - 2021 M
Mwezi wa Rajab mwaka huu ni kumbukumbu ya tukio la kusikitisha katika historia ya Ummah wa Kiislamu, miaka 100 ya Hijria tangu kuanguka kwa dola yake tukufu na uongozi wake wa Kiislamu: Khilafah mikononi mwa adui wa Uislamu Mustafa Kemal na serikali za kikoloni za Magharibi.
Huu hapa tena umerudi mwezi wa Rajab al-Khair kwetu kutukumbusha kuwa msiba wa kuvunjwa kwa Khilafah ungali unaendelea haujamalizika bado.
Afisi Kuu ya Habari: Kitengo cha Wanawake "Udhalilifu Huu Utaendelea Mpaka Lini Enyi Ummah wa Kiislamu"!
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 51 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kitengo cha wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir kimezindua kampeni pana ya kunyanyua utambuzi wa kiulimwengu juu ya dhulma kubwa na ukiukaji ambao Waislamu wanakabiliwa nao nchini Sri Lanka,
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Uchomaji kwa Nguvu wa Waathiriwa wa Kiislamu wa COVID-19 Nchini Sri Lanka; Vipi Tunapaswa Kujibu?!